Yani wanaume jamani


badilisha hapa weka vizuri umetukosea adabu hapa...!!!!
 

Unazungumzia wanaume watanzania au wa kule kwenu? Manake sisi wa Tanzania hatuna shida kabisa.
 
Hahaaa ndagha kaka,hapo umenifikisha kaka usisahau mafufu

Sasa hapo utanenepeana utamboa shemeji yangu akukimbie na wewe ulete mihasira yako humu. Wewe nakupeleka pale royal zambezi tukapige gym
 
Mwanamke na ajifunze kwa mme wake, mwanaume ndyo kichwa cha nyumba
 
hivi kuna wanawake bado wanasumbuliwa akili na wanaume, mkuje huku niwape tuition ya men 101. yaani mwenzenu mie mwanaume hanibabaishi hata nukta! akianza uongo wake na longolongo lake nam-block kila kona ya dunia!
 
Si ulisema unampenda sana japo hayupo romantiki, leo imekuwaje tena mpaka unataka "kumuulimboka" kweupeeeeeeee?
Tujiunge na hansard ya JF hapa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…