vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
- Thread starter
-
- #61
tafadhari me nimemteka wife hata nikichomwa na mwiba alia kutwa, me aniache please!!!!
Ila Mungu huwa anawapa adhabu hao watu,sijui huwa akili zinakua wapi km mpaka analala na mtoto wake wa kumzaa usiumie just relax adhabu yao imeandaliwa ipo tuuu
Mnhhhhhhhh punguza ukatili huo
Mmmh sio bure kuna kitu hapo. Au jamaa kafumua marinda ya mtandao wetu pendwa? Ila mianaume ndo tulivo shikamoo Mentor
dhumuni ya kumlaza kwenye maji ya barufu ni kumake sure hakuna kiungo chake kitasimama tena.....
haaaa wewe hata kwa mtutu kwanza harusiwi hata kuongelea sehem hizo........weee........si ungesikia taarifa kwenye jiji letu leo jion....
Ila Mungu huwa anawapa adhabu hao watu,sijui huwa akili zinakua wapi km mpaka analala na mtoto wake wa kumzaa usiumie just relax adhabu yao imeandaliwa ipo tuuu
Nyie wanaume jamani manakuaga na akili Gan lakini?
usiombe kukutwa hy wife siku ukiharibu jiandae na ESCAPE FROM SABIBOR........km umewah kuiona hii movie
weeeeeSI BURE INAWEZEKANA WAME "KUKOPA" MCHANA HUU :wacko::wacko: !!!
na bado wakitoka hapo watadindisha tu na kupiga tu
Hahahaha DahSI BURE INAWEZEKANA WAME "KUKOPA" MCHANA HUU :wacko::wacko: !!!
ha ha ha haTena kwa hasira, na vibao juu!
Teh wasulubu woote kasoro wangu tu...