Yani wanaume jamani

Yani wanaume jamani

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
Ningekuwa na uwezo Leo ningekamata kumbe yeyote mwenye viungo vya uzazi ningepeleka Uwanja wa Taifa ningechapa fimbo za makalioni ningechapa, nawanyoa nywele na nyusi zote na chupa, nawaweka juani then nachukua koleo nang'oa meno mawili ya mbele yale hapa, halafu namlaza kwenye cement juani mpaka jua likuche.

Then usiku namuingiza kwenye maji ya barafu akitoka nampa juisi ya pilipili kichaa hafu kesho asubuh nawaachie mrudi makwenu yani huyu kiumbe mme ameniuzi sana sana.

Shikamoo nyie wanaume hivi sijui manakuaga na akili gani halafu kujifanya kila kitu mnajua wakati hamna lolote.
 
Ningekuwa na uwezo Leo ningekamata kumbe yeyote mwenye viungo vya uzazi vyenye korodan mbili......ningepeleka uwanja wa taifa ningechapa fimbo za matakoni ningechapa nawanyoa nywele na nyusi zote na chupa nawaweka juani.....then nachukua koleo nang'oa meno mawili ya mbele yale hapa haf namlaza kwenye cement juani mpk jua likuche then usiku namuingiza kwenye maji ya barafu......akitoka nampa juisi ya pilipili.....kichaa.....hafu kesho asubuh nawaachie mrud makwenu......yan hy kumbe mmeee ameniuzi Sana.........Sana....shkamoo nyie wanaume ....HV sijui manakuaga na akili Gan haf kujifanya kila kitu mnajua.......wakat hamna lolote.......

Nyie wanaume jamani manakuaga na akili Gan lakini?
 
Duuuh mamii mbona hasira hivi kakufanyaje kikubwa hivyo????pole sana embu hesabu mpaka kumi basi kwanza halafu urudi utuambie kulikoni....
 
Ningekuwa na uwezo Leo ningekamata kumbe yeyote mwenye viungo vya uzazi vyenye korodan mbili......ningepeleka uwanja wa taifa ningechapa fimbo za matakoni ningechapa nawanyoa nywele na nyusi zote na chupa nawaweka juani.....then nachukua koleo nang'oa meno mawili ya mbele yale hapa haf namlaza kwenye cement juani mpk jua likuche then usiku namuingiza kwenye maji ya barafu......akitoka nampa juisi ya pilipili.....kichaa.....hafu kesho asubuh nawaachie mrud makwenu......yan hy kumbe mmeee ameniuzi Sana.........Sana....shkamoo nyie wanaume ....HV sijui manakuaga na akili Gan haf kujifanya kila kitu mnajua.......wakat hamna lolote.......

Unaonaje ungeanza na dingi ako?
 
vkeisy2006

Nini tena mkuu mbona hukumu nyingi za mawazo nishirikishe pls
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na uwezo Leo ningekamata kumbe yeyote mwenye viungo vya uzazi vyenye korodan mbili......ningepeleka uwanja wa taifa ningechapa fimbo za matakoni ningechapa nawanyoa nywele na nyusi zote na chupa nawaweka juani.....then nachukua koleo nang'oa meno mawili ya mbele yale hapa haf namlaza kwenye cement juani mpk jua likuche then usiku namuingiza kwenye maji ya barafu......akitoka nampa juisi ya pilipili.....kichaa.....hafu kesho asubuh nawaachie mrud makwenu......yan hy kumbe mmeee ameniuzi Sana.........Sana....shkamoo nyie wanaume ....HV sijui manakuaga na akili Gan haf kujifanya kila kitu mnajua.......wakat hamna lolote.......

nyege za kiangazi mbaya sana
 
SI BURE INAWEZEKANA WAME "KUKOPA" MCHANA HUU :wacko::wacko: !!!
 
Back
Top Bottom