YANI TCU NDO MNANITUMIA CODE LEO?

Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,541
Reaction score
3,523
Baada ya kusubiri kwa masaa, siku, na sasa wiki hatimaye TCU leo wamenitumia zile "code".

Sasa niwaulize TCU code hizi mnazonitumia leo zina msaada gani kwangu iilihali deadline ya kufanya confirmation ilishapita?
 
Sasa si uconfirm hivyohivyo?au ina kataa?
 
Baada ya kusubiri kwa masaa, siku, na sasa wiki hatimaye TCU leo wamenitumia zile "code".

Sasa niwaulize TCU code hizi mnazonitumia leo zina msaada gani kwangu iilihali deadline ya kufanya confirmation ilishapita?

Hongera mkuu uliyepata hata baada ya deadline. wengine mpaka dakika hii hakuna kitu mbali na kwenda ofisin kwao na kujaza form kwa kigezo kuwa watatuma mpaka dakika hii hakuna kitu. nahisi form zetu wamefungia maandazi
 
Ulijaribu kufanya mawasiliano na chuo unachotaka kwenda mkuu? Ili kuconfirm kwao moja kwa moja maana tisiyu ndo washafeli katika suala zima la udahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…