Yangu ya moyoni

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Kwako bwana utafitisalam.

Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am Tanzanian lady,kama umeoa nipo tayari kua nyumba ndogo au spea tairi.
 

Shetani akemewe, ashindwe kabisa! Alegee kabisa. Shetani nakukemea kwa jina la YESU, ushindwe, umuache mtoto wa Mungu alitukuze jina la bwana.
 

Hua najaribu kujiuliza kizembe

Hivi mtu unampenda mtu inakuwaje unakuja hapa hadharani?

PM hazipo?

Au ni uongo tu?

Mwishowe naona kama wote waliokuja hapa na kujidai eti wanawazimikia watu ni waongo tu

CC: Shenazi na wengineo .......!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mae!
Mimi ndio sijaanzishiwa kathred ka kutakiwa!
Ngoja nikaongee na babu!
 

mi mwenyewe nakuzimiaga basi tu natafuta muda mzuri nikuanzishie thread
hayo ndo mapenzi kunoga
 

^^
Mmm Baba paroko, wali unawekea mchanga
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Mmm Baba paroko, wali unawekea mchanga
^^

Huu ni uji.nga mkuu

Kama unampenda mtu hilo ni suala binafsi

Ndio maana wakaweka kitufe cha ujumbe binafsi [Private Massage]

Na imewekwa sheria mambo ya huko ni marufuku kuletwa hapa

Sasa inakuwaje mtu alete masuala binafsi hapa?

Si kutuzuga tu huko?
 

^^
Pengine analinda penzi Mkuu, Haya mambo ya kutazama tu, JF is more than hidden forums
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…