Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Kwahiyo kusema kwako kuwa Yanga hawezi kufanya kitu fulani unajigeuza wewe ni mganga? Mungu? Mshika funguo za mafanikio au mpiga ramli? Ushabiki upo ila sio kuwa kama ni mgeni wa mpira wa miguu. Kilichotokea leo ni funzo kwako na kwa wengine kuwa muwe na akiba ya maneno mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika.
Japokuwa bahati kwenye mpira ipo

Lakini hatupaswi kupuuza namba
 
Uncle bright 😂😂😂jina lako halisadifu yaliyomo. Hata huku mtaani kuna wazee wa hovyo ila majina yao mazuri wakiitwa akina Yohana, akina Othuman
 
Mod uzi kama huu mlitakiwa mumnyime uwezo wa kuedit lile bandiko lake mleta uzi. 😂😂

Japo mleta uzi inaoneka hujakomaa kwenye hizo sekta za ukurupukaji ndio mana umekimbilia kuedit uzi wako wenzio kina Mwasibu huwa hawajali wala nini wao wana mute tu hata uwatag vipi hawatokei wakiguswa sana wana dislikes. 😂😂
 
NI AIBUU KUBWA SANA UMEONA MWENYEWE ULIVYO MPUMBAVU NA MJINGA MNAANDIKAGA BILA KUFIKIRI TAZAMA AIBU ULIYOPATA SIKU NYINGINE UJIFUNZE NA IWE FUNDISHO. CHEKI UMEEDIT KWA KUFUTA ULICHOANDIKA UZURI WATU WALICOMMENT NA KIPO KINONEKANA.
 
Back
Top Bottom