Yanga yatinga fainali Kombe la Shirikisho

Wamchangani wanachukia wakisikia yanga wapo fainali na bado ubingwa wanachukuwa....
Yanga wakimataifa tu jamani
 
1392ffa1a84f8ccec3e778aab19f8516.jpg
Wakimataifa katika ubora wao wa kulitangaza taifa kimataifa.....
 
Ninacho washangaa vyura ni chuki na simba.Mechi ilikua baina ya vyura na coast simba sisi tunaingiaje hapo?Acheni ushabiki usio na tija.
Tanzania mashabiki Wako Tim mbili Tu wengine mbwembwe Tu,mashabiki WA yanga hatuna sababu ya kuichukia simba kwa sababu msimu huu gains madhara kwetu .labda mikia ndo wanaichukia yangaila mnaikubali kiana
 
Back
Top Bottom