Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,194
- 27,376
Waacheni wachezaji wazawa wakombe hela za Yanga na YM. Kama hawakufikia muafaka na Azam, basi usishangae ukija kusikia ameikomba Yanga milioni 50 na mshahara wa 2.5M kwa mwezi !!! Si umeona Kaseja na Okwi, wamechukua mahela na bado wanaisaidia Simba !!!