Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,765
Sio lazima UMEONA LIGI ya KOMBE la CHAMPIONSHIP UINGEREZA? Non LEAGUE TEAM Imeiondoa ASTON VILLA TIMU ambayo iko kwenye PREMIER LEAGUE?
Au WATFORD iko kwenye ligi Daraja la TATU - Imeiondoa ARSENAL... BUDGET yao ni 49,000 UK POUNDS; na ARSENAL ni MILLIONS of POUNDS...
Kujifunza SOCCER TECHNIQUE hauitaji UCHEZE na MESSI .... Watu walio Madaraja MADOGO wanajituma na MNAELEWA zaidi...
Uliona TIMU ya TAIFA ya ZAMBIA? ILIKUWA na MCHEZAJI MMOJA tu NJE ya NCHI na ni NORWAY; Waliigaragaza IVORY COAST
Nimekufungulia siku na like mkuu.