Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 732
Yanga imeendeleza wimbi la kupokea vichapo kutoka kwa timu dhaifu za Ulaya, na imepokea kipigo kingine cha bao 2-0 , safari hii ikifungwa na timu isiyojulikana kimataifa ya Emmen FC ya nchini Uholanzi. Yanga ambayo inafanya mazoezi nchini Uturuki, sasa imeambulia sare moja na kufungwa mechi mbili katika mechi tatu ilizocheza.
Lakini kama ilivyo kawaida, haitakuwa ajabu kesho kuyaona magazeti yakiwa yamepambwa na vichwa vya habari vizito vizito kama:
"Yanga yatikisa Ulaya"
"Yanga usipime"
"Yanga hii temea mate mbali"
"Timu kibao Ulaya zagombea kucheza na Yanga"
"Tegete aweka rekodi mpya Ulaya"
"Tegete agombewa, kununuliwa kwa mamilioni Ulaya"
"Refa awaokoa Waholanzi kupata kipigo Uturuki"
"Yanga fiti 100% - Brandts"
... weka heading nyingine ... :becky: :becky: :becky: