Yanga Wavunja Mkataba Mwingine

Yanga Wavunja Mkataba Mwingine

wewe unabishana kishabiki zaidi si kihoja hata vijembe vyako vinaonekana vya kiswazi........nenda mwembe Yanga

hauna hoja ndomana unaishia kulalama kama mtoto wakike,nimekuuliza na nakuuuliza tena umesoma vizuri term and condition zilizo kuwa kwenye mkataba wa Young Africans na Postal Bank..hujajibu unarukaruka tuu..ndomana Rage hakukosea kuwaita mambumbumbu au maamuma wasahabiki,viongozi na wanachama wasimba kwakuwa mnarukia mambo bila kuyajua tena mnafanya mambo kienyeji kama sakata la Okwi litakavo wavuanguo hadharani
 
Yanga imeingia mkataba na benki ya CRDB na kuitosa Benki ya Posta, CRDB imesema ndani ya miaka mitano Yanga itakuwa tajiri kama Manchester United.
 
Yanga kuwa tajiri kama Man Utd...acheni masihara nyie watu...mnaleta siasa
 
itawezekana mfano wanachama laki moja kwa mwaka ni shs bilion 1 na elfu 200 kwa miaka 5 sawa na bilion 600
 
Hiyo heading nilfikiri ni mchezaji ndo kavunjiwa mkataba
 
Yanga imeingia mkataba na benki ya CRDB na kuitosa Benki ya Posta, CRDB imesema ndani ya miaka mitano Yanga itakuwa tajiri kama Manchester United.

Kuna semi zinazofanana kama hiyo..."Nitageuza Kigoma kuwa kama Dubai"
 
mkuu naona wivu na roho ya kwanini inakutekenyua tekenya hakuna la ziada hapo...nanyie c mvunje mkataba na kutafuta bank nyingine?
simba ina watu makin sana
 
Mkuu,sometimes you need to think big,
CRDB ni among the best brand kwenye bank industry kwenye coverage,services,technology,profit huwezi linganisha na Poastal Bank.Wafanyabiashara na wafanyakazi wengi wanatumia CRDB over Poastal. Ukilist benk 5 zinazofanya vizuri huwezi kuta Poastal Bank ,Sio kila mahali mnaleta ushabiki
soma content halafu ufanye analysis contextually usiwe Belo la mitumba
 
Yanga wanakurupuka sana....sijui hawashauriwi? Takwa mojawapo la mkataba kati yao na Postal bank ni kwamba yanga isiingie katika makubaliano kama hayo na benki nyingine wakati wanaendelea na mkataba wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom