Mbona ile yakimataifa waliocheza na timu ya taifa ya Somalia wali draw?
Toa credit basi hata kwa hicho kifogo walicho kipata
Leo Yanga ilikosa wachezaji wake muhimu kina Fiston kalala Mayele, Aziz Ki, Kambale, na beki wao kisiki mwamnyeto
Ukiwa snitch unaweza udiyaone hayo ila wanaojua soka wanelewa hii mechi ingewakuta hao, Vipers walikuwa wanapotea