Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,096
Reaction score
7,126
Klabu ya Yanga imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Manqoba Mngqithi, kufuatia kukosekana kwa mwendelezo wa matokeo mazuri ya timu hiyo.

Aidha, Yanga imevunja pia mkataba na kocha wake wa viungo, Chyna Mokaila.

Kupitia taarifa yake, klabu hiyo imesema mchakato wa kumpata kocha mpya unaendelea kwa kasi, huku ikitarajiwa kufahamika hivi karibuni nani atachukua nafasi hiyo.

Screenshot_20261024_221036_Instagram.jpg
 
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom