Yanga wamchefua Karume Senior

Yanga wamchefua Karume Senior

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
838
Reaction score
561
kwa kukataa kucheza kombe la mapinduzi la kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi tukufu.

Kumbe ni Mzee Karume Senior ndiye aliyewatafutia kiwanja Jangwani na kulipia Tshs. 2,000.

Mjane wa Mzee Karume Senior bado ni yupo kwenye uongozi wa Baraza la Udhamini la klabu ya Yanga.

Yanga ambayo ni inaitwa ' Timu ya Wananchi' na ambayo Karume aliitumia kwenye ukombozi wa Zanzibar imeshindwa kweli kuenzi miaka 50 ya mapinduzi matukufu kwa kushiriki mashindano haya?
 
Mzee Karume alishafariki(R.I.P),sijui wewe unamzungumzia Karume gani ambaye amechefuliwa
 
Kwa kushindwa kuyaenzi mapinduzi tukufu yanayofikia nusu karne !
 
Hivi bila kuandika habari za Yanga, hampati usingizi eeeh! Tumechoshwa na nyuzi kama hizi.
 
Yanga bado kichapo cha simba kimewalevya, wanaogopa kwenda kunyukwa tena.
 
Back
Top Bottom