J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 84,035 142,149 Apr 17, 2019 #1 Nawaza tu kwamba kwa sasa kipaumbele cha TFF ni uchaguzi wa Yanga na wala siyo mashindano ya Afcon. Maendeleo hayana vyama!
Nawaza tu kwamba kwa sasa kipaumbele cha TFF ni uchaguzi wa Yanga na wala siyo mashindano ya Afcon. Maendeleo hayana vyama!
luangalila JF-Expert Member Jan 12, 2014 6,325 6,871 Apr 17, 2019 #2 Hahaha yale majezi waliyo vaa leo madogo wamepokea kipigo kitakatifuuuu.....alisikika mchambuzi mmoja wa soka
Hahaha yale majezi waliyo vaa leo madogo wamepokea kipigo kitakatifuuuu.....alisikika mchambuzi mmoja wa soka
Ochumeraa JF-Expert Member May 18, 2015 4,504 5,707 Apr 17, 2019 #3 Yanga haijaponzwa na TFF imeponzwa na mashabiki wake wenyewe,walikuwa wanaishangia coastal Union walisahau kama timu yao inacheza kule morogoro ....
Yanga haijaponzwa na TFF imeponzwa na mashabiki wake wenyewe,walikuwa wanaishangia coastal Union walisahau kama timu yao inacheza kule morogoro ....