Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Makipa: Yaw Berko na Aly Mustapha "Barthez"
Mabeki: Juma Abdul, Godfrey Taita,David Luhende,Oscar Joshua,Nadir Haroub "Canavaro" Ladislaus Mbogo na
Kelvin Yondani "Vidic" sijui Rage atawaambiaje tena watu wa Simba kuhusiana na huyu "Vidic"
Viungo: Athuman Idd "Chuji", Juma Seif "Kijiko", Haruna Niyonzima "Febregas", Rashid Gumbo "Fundi" Nizar Khalfani
"Mtaalamu", Shamte Ally "Engineer" na Idrissa Rashid "Messi wa Yanga"
Washambuliaji: Back in the form Jerrison Tegete,Khamis Kiiza "Diego" na Said Bahanuzi.

Makocha: Head Coach Tom Saintfiet "Uncle Tom"
Assistant Coach Fred Felix Katalaiya Minziro "Baba Isaya"
 
Nick names kibao kama yalivyokuwa mabao kutoka kwa Simba (5-0). Kuhusu 'Vidic', CECAFA tayari imeshampiga stop kushiriki akiwa Yanga, bila shaka TFF haitaenda kinyume na CECAFA kwenye ligi ya Bara!
 
Naona 90% ni walewale walobugia 5-0
 
Five-goal-Simba-rout-Yanga.jpg

Champions Simba Sports Club thrashed bitter rivals Yanga SC 5-0 in the Dar es Salaam derby at the National Stadium on the final day of the 2011-2012 season.

The win matched Simba's biggest ever win over Yanga as the victors were handed their league diadem equaling the record of their rivals of 18 league titles.

Ugandan striker Emmanuel Okwi was the undoubted star of the match scoring twice and playing a part in the other three.

Simba enjoyed a dream start to the derby going ahead in the first minute through Okwi.
Drama would unfold in the second half as the winners and Okiw in particular ran riot.

First, Okwi and Felix Sunzu combined but the Ugandan was brought down in the box with the referee pointing to the spot. Sunzu stepped up to make it 2-0 on 55 minutes.

After the goal, Yanga made changes as Ghanian Keneth Asamoah came on for Davis Mwape in the 56th minute and soon after the change, Simba caught Yanga out with another counter attack as Okwi scored Simba's third goal and his second of the afternoon on 53 minutes.

Okwi was at the centre of everything and he earned his side another penalty after being fouled in the box. This time skipper Juma Kasseja stepped to score and make it 4-0 in the 67th minute.

Yanga could not live with Okwi and Athumani Iddi tripped him in the 18 yard box with Patrick Mafisango sealing Simba's victory by dispatching the penalty.

The win matches Simba's biggest win over their arch rivals. In 1968, Yanga beat Simba 5-0, and nine years later Simba got their revenge beat Yanga 5-0.

Simba: Juma Kaseja, Nassor Masoud, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Kelvin Yondan, Patrick Mafisango, Uhuru Suleiman, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi and Emmanuel Okwi.

Coach: Milovan Cirkovic

Yanga: Yaw Berko, Nsajigwa Shadrack, Oscar Joshua, Athumani Iddi, Nadir Haroub, Juma Seif, Nurdin Bakari, Haruna Niyonzima, Davies Mwape, Rashid Gumbo and Hamisi Kiiza.

Coach: Konstadin Papic
 
Naona 90% ni walewale walobugia 5-0

Ni kweli, na hapo ndo mtakapothibitisha kuwa zile penalt 3 na magoli yale mawili kuwa yalikuwa ya watu kuvurugana tu,nawaombe sana Watani wetu mfike hatua za mbelembele ili tukutane.
 
.....Kelele miiiingiiii mkianza kupigwa bao mnaanza kudai eti baba Riz1 ndo anawaloga !! Tunawasubiri na kama ilivyokuwa Kondic, huyu kocha sio muda mrefu ataanza kupokea mshahara kwa mafungu, then itabidi asubiri kwanza mpaka manji auze mchele mbovu na last tutamkuta anakula samaki wa kukaanga usiku pale kongo tena kwa kukopa !! Ndo yebo yebo hii, usanii na ubabmash kama CCM vile !!
 
Nick names kibao kama yalivyokuwa mabao kutoka kwa Simba (5-0). Kuhusu 'Vidic', CECAFA tayari imeshampiga stop kushiriki akiwa Yanga, bila shaka TFF haitaenda kinyume na CECAFA kwenye ligi ya Bara!

Issue ya Vidic hata haijafika mezani kwa CECAFA rasmi utasemaje kuwa wameshampiga stop,acha kutegemea magazeti ya udaku ya michezo,Vidic ni mchezaji halali wa Yanga lkn hata kama "Maha'Rage" ata'collude na "Msonyo" wake (tunajua Musonye ana interest na Simba) haitatuathiri kabisa ksbb kuna mtu anaitwa Ladislaus Mbogo huyo utafikiri Mbogo kweli,akisimama pale kati na Canavaro mechi zote namba za kina Agrey Morris na Nyosso Taifa Stars zote zitakuwa mashakani.
 
makipa: Yaw berko na aly mustapha "barthez"
mabeki: Juma abdul, godfrey taita,david luhende,oscar joshua,nadir haroub "canavaro" ladislaus mbogo na
kelvin yondani "vidic" sijui rage atawaambiaje tena watu wa simba kuhusiana na huyu "vidic"
viungo: Athuman idd "chuji", juma seif "kijiko", haruna niyonzima "febregas", rashid gumbo "fundi" nizar khalfani
"mtaalamu", shamte ally "engineer" na idrissa rashid "messi wa yanga"
washambuliaji: Back in the form jerrison tegete,khamis kiiza "diego" na said bahanuzi.

Makocha: Head coach tom saintfiet "uncle tom"
assistant coach fred felix katalaiya minziro "baba isaya"

ndio maana mkaitwa kandambili. Manake akili zenu kama nungu nungu.
 
Nyie wote mnaojita simba kama sio mashabiki wa asernal ni wa man u, make kelele zenu ni kama za wagen hamkumbuki mlikalia 3-0 pale mwanza tena za bila penat, ikawe ndo mchezo ulioweka rekodi duniani katika futball kuwa na penat 3 kwa goal3,. Hamna jeuri ya kuifunga yanga 5 nyie labda mpewe penat,.
 
Mbona jembe Nsajigwa ametupa nje ya ulingo?

Hiyo ni mipango ya Uncle Tom (Tom Saintfiet) Kaka,jembe Nsajigwa limecheza mechi nyingi sana za Club na team ya Taifa msimu uliopita,ukilinganisha na umri wake inabidi apewe muda wa kupumzika kidogo...siyo kila mtu mweupe ana akili nyingi Yanga ni tofauti sana na Simba ambapo mchezaji kama Juma Kaseja iwe mechi za ligi ya Vodacom yupo golini,mechi za kimataifa yupo golini,kombe la mbuzi,yuko golini mechi ya kirafiki dhidi ya Kombania ya shule za secondari kule Shinyanga yuko golini,golini Kaseja-Kaseja kila mechi Kaseja...kazi kuua vipaji vya wachezaji wanaochipukia tu angalia Deogratius Minushi "Dida" kasota benchi misimu miwili yote hajacheza hata mechi ya kombe la Kuku,katimkia zake Mtibwa kapata fursa ya kucheza kaonyesha kiwango kizuri kiasi cha Kim kumuona na kumjumuisha team ya Taifa,wkt huohuo akalamba deal la maana Azam na sasa anakula bata...kwahiyo bwana Daniel usipate mashaka kuona Fuso amewekwa pembeni Kagame kuna dogo anaitwa Juma Abdul pale kulia,yeye akisaidiana na Godfrey Taita hakuna kitakachoharibika
 
makipa: Yaw berko na aly mustapha "barthez"
mabeki: Juma abdul, godfrey taita,david luhende,oscar joshua,nadir haroub "canavaro" ladislaus mbogo na
kelvin yondani "vidic" sijui rage atawaambiaje tena watu wa simba kuhusiana na huyu "vidic"
viungo: Athuman idd "chuji", juma seif "kijiko", haruna niyonzima "febregas", rashid gumbo "fundi" nizar khalfani
"mtaalamu", shamte ally "engineer" na idrissa rashid "messi wa yanga"
washambuliaji: Back in the form jerrison tegete,khamis kiiza "diego" na said bahanuzi.

Makocha: Head coach tom saintfiet "uncle tom"
assistant coach fred felix katalaiya minziro "baba isaya"
poa mjomba,ngoja tuue mtu cecafa.
 
Naipenda sana yanga, kunawatu wameanzisha mkakati ua yanga ila wao watakufa make walikuja kina sigara,kajumulo,moro untd wote wamepotea yanga yupo na atazidi kuwepo,. Wanapangiana skuizi eti we ukiwa bingwa mi wapili,. Ujinga mtupu kwa mwendo huo pamoja na investment kubwa iliofanya azam naamin haina muda mrefu itapotea tu kwasababu ya kwendekeza undugu na simba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom