Yanga vurugu tupu!!

Yanga vurugu tupu!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765

Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi walifika klabuni hapo na kuimarisha ulinzi hadi Fullshangweblog inaondoka klabuni hapo bado kulikuwa na kundi la wanachama na kila moja akiongea la kwake na mkutano ulikuwa bado kufanyika.

Kutoka Fullshangwe
 
hawa jamaa hawapendeki, kama ccm tu , ngoja nigeukie azam , timu ya kizazi kipya
 
simba na yanga zinaharibu mpira wa tanzania

Mimi ni mshabiki wa simba ila naungana na wewe kwa 100% kua simba na yanga wanaharibu soka hapa tz. Siyo wao tu hata Tbl inahusika ktk kuua soka ka bongo kwa sababu haiwezekani ligi kuu iwe na timu zaidi ya 10 lakn wao wanadhamini timu 2 tu! Kwa nini? Soka la bongo halina maana kabisa.
 
Nakubaliana nanyi Uyanga na Usimba ndo watupeleka kubaya kisoka, lakini nadhani suala la udhamini wa timu ni mbinu za uongozi wa club husika, mdhamini wa ligi ndo analazimika kuhusika na timu zote zinazoshiriki ligi husika, na ndivyo ilivyo Dunia nzima.
 
Jioni wanapeleka kitoweo nyumbani kweli?
Watanzania wengi wana mda wa kupoteza.
 
Back
Top Bottom