Yanga vs zamaleck

nimeandika thread naona mod kaitoa leo YANGA 1 ZAMALEK 3
KESHO SIMBA 2 KIYOVU 1 GAME OVER INGAWA MPAKA SASA SIMBA NAONA ANAWEZA KUONGEZA IDADI
 
Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi na wamekosa bao la wazi.
Nsajigwa anapewa kadi ya njano
 
nimeandika thread naona mod kaitoa leo YANGA 1 ZAMALEK 3
KESHO SIMBA 2 KIYOVU 1 GAME OVER INGAWA MPAKA SASA SIMBA NAONA ANAWEZA KUONGEZA IDADI

umeweka kwenye jukwaa gani?
 
Mechi hii ilishakwisha tangu Dar es salaam baada ya Yanga kuishindwa kuifunga Zamalek nyumbani, nawaomba Yanga wenzangu msipoteze muda wenu kutalajia lolote jipya kwenye mechi hii, timu imekwenda kule Cairo kukamilisha ratiba tu. huu ndio ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom