Pamoja na ukali woote Simba Leo anawekwa Mimba mchana kweupeee
Mkuu The real Daniel umetisha sana umekuwa wa kwanza kwenye uzi kubashiri sahihi matokeo ya mechi ya leo
Khee kheee... Ukiwa na mimba usidhani kila mtu anayo...
Leo yanga mapemaaaa Niko siti ya mbele yanga 3. Simba 1,nani anabisha
Tukifungwa navaa nikabu nakuwa nawazoom tu,Ila hatufungwiiiiii.
Sent using Jamii Forums mobile app