Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Simba 2 Yanga 0

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
 
Sasa hapo kazi hiyo inatakiwa uwe makini na luninga kuangalia hizo channel ulizo orodhesha ipi itaonyesha
Sio yote ya kutafuniwa mkuu jiongeze Mimi na pressure saizi ngoja nivute pumzi tu,nakutakia uangaliaji mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usijali sana, leo Wa-msimbazi wanapata habari yao, lazima wakione cha mpilipili na maua yake, trust me...
 
Back
Top Bottom