Wapi De Novo? usiwe kama washabiki wa Chelski mechi yao ikiwa inapigwa hwaonekani mpaka iishe. Wakishinda wanakuja kwa kasi wakifungwa wanajipa ban ya siku tatu
wakuu mechi haijaisha tu?Hongera simba sc...sisi ndo wenye kuleta heshima hapa Tanzania tu.Watani poleni kwa kipigo..tumezingatia itifaki ya mwaka 2010 tu!