wakuu nina mipira kumi imetumika lakini hipo kwenye hali nzuri kama mtu anajua timu za watoto mtaani inaweza kuwasaidia.
sehemu nilikuwepo hapa jamaa mda umefika wakubadirisha mipira sasa walikuwa wanataka kutupa lakini nimewaambia nitaichukua kwa vile inaweza kuwasaidia watu wengine.ningependa kama kutuma nitume yote kwa pamoja kuepukana na gharama na mtu atakaipokea anaweza kuwapa hao watoto hata miwili kila timu kuwasaidia.
Hahaaaaaaaaaaa....Nikajua ni ile ya akina Mzimba.....Ya Kamati ya ufundi....Hongera kwa ushindi(kwa lugha yetu ile ya Seminarini twasema 'Congratulations pro wining venatus'.....Pamoja frater
Kandandambili ni kandambili tu haiwezi kuzuia jino la simba kupenya. mnatumia nguvu nyingi kujiandaa na mpambano na simba badala ya ile timu ileeeeeee ngoja nisikumbushe na mkateka vyombo vya habari yanga yanga sasa wapi nauliza wapiii. simba wameona mambo iko huko yanga wakawawowa kwa kumipumulia bao nne kudadeki na mimba mmesha beba upumzike tunasubiri watoto mapacha. wakati tunaelekea kwenye kazi CAF.kambi ya zenji ni kujiandaa na misri sio nyie mdebwedo
Hii nimeipenda mtani/Frater kwa kuwa wewe ni Seneta hapa kwa Yebo yebo tumia uzito wako kuwa hao waliotolewa kwa kadi nyekundu hawababeshwi mzigo wa kichapo cha leo maana hapo lazima mchawi atafutwe.
Hongera saana Mnyama kwa ulio yafanya kwa Kandambili jana. umethibitisha kwamba wewe ni mbabe wa kweli katika league hii. Umeweka Record ambayo haijawekwa na yeyote.
:target: