Makoye sijui kaishia Msamvu?
Polisi wanakosa bao la wazi hapa.
Polisi wanakosa bao la wazi hapa.
Ssaffi Makoye,leta updates hata kama kuna mtu mwingine anayeonekana kuwa hapo Jamhuri anapingana na updates zakoPolisi wanakosa bao tena.
Huoni Mkuu inawezekana unashangilia zaidi huendi na kasi ya mchezo.
Polisi wanakosa bao tena.
Bila bila moro. Huyu kipa wa polisi kwa kujiangusha. Clear chance wasted kwenye lango la polisi. Yanga wanatafuta bao hapa