Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
hivi wewe ni simba au azam.?
Huyo ni simba damu......
hivi wewe ni simba au azam.?
Chelsea wameniudhi kweli.!!
Chelsea wameniudhi kweli.!!
tukuulize wewe minyoomizima bila yeye ndala haishindi pole sana...
nauona kama nimeukaribia mkuu... ndomyana
huyo ni simba damu......
hivi wewe ni simba au azam.?
ha ha ha ha ha kwa huyo jamaaa SIMAZAM eeeeeh!huyo kachanganya damu ya kisomali na kipemba
Huku mlimani kupo poa kijana, najipumzisha kiaina ila next week narudi huko.mkuu vipi za mlimani naona ulienda kumalizia hasira za mama!!