Yanga vs Ngaya live updates

Ndiyo maana nimesema mashabiki wa yanga ni sawa na Misukule....kwani toka wewe uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini cha maana kimataifa Zaidi ya wao kuwa wasindikizaji? Nasubiri jibu lako.
Mkuu hayo maneno yako yanatoka kinywani mwako au kwenye kijambio ?, niambie mara ya mwisho Mikia fc ilishiriki lini mashindano ya vilabu vya Africa na matokeo yalikuwaje mbwea ninyi
 
Inategemea wanaosema ni watu wa aina gani. Huenda ikawa anayemuita mwenzake yeye ndio akawa msukule

Toka uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini kimataifa Zaidi ya kusindikiza timu zingine na kufanywa jamvi la wageni? Usibishe kwani kumbukumbu zipo.
 
Pumba? Waulize watanzania wanaoishi huko kama kweli kuna mpira kule. Hii ilikuwa ni sawa tu kwa Yanga kucheza na vibonde in the preliminary round kwani siku zote vibonde upangwa pamoja ili watoane kabla ya mechi zenyewe na sote twajuwa Yanga ikifika huko wao ni kulizwa tu....!
 
Sijabisha ila kama hujanielewa vile nimesema penye kushangilia wacha tushangilie huo ubingwa wewe uliyeuzowea kashiriki uchukue hilo kombe.

Hilo jamvi la wageni unalijua wewe.
 
Msukule namba 1 duniani ni wewe. Unatia kinyaa na huruma!!

Nakupa kinyaa kukuambia ukweli mkuu? basi una shida na hauna mapenzi na Yanga kweli, maana ungekuwa na mapenzi ya kweli kwa Yanga usingeshangaa kwa nini nimewaita nyie misukule kushangilia ushindi dhidi ya timu kibonde. pale ilibidi muwachape wale 11 - 0 au Zaidi.
 
Ingekua ni wewe mbumbumbu ungefikisha hata goal 2
 
Toka uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini kimataifa Zaidi ya kusindikiza timu zingine na kufanywa jamvi la wageni? Usibishe kwani kumbukumbu zipo.
Bora hata anayesindikiza maana anajifunza namna ya kusafiri, je hao wasio sindikiza hawatamu huko kusindikiza?
 
Pumba? Waulize watanzania wanaoishi huko kama kweli kuna mpira kule. Hii ilikuwa ni sawa tu kwa Yanga kucheza na vibonde in the preliminary round kwani siku zote vibonde upangwa pamoja ili watoane kabla ya mechi zenyewe na sote twajuwa Yanga ikifika huko wao ni kulizwa tu....!
Simba yenu hata ubavu wakufika huko haina mtaishia kupiga mayowe lkn yanga na Serengeti boyo pekee ndiyo wa wakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa.
 
Mkuu hayo maneno yako yanatoka kinywani mwako au kwenye kijambio ?, niambie mara ya mwisho Mikia fc ilishiriki lini mashindano ya vilabu vya Africa na matokeo yalikuwaje mbwea ninyi

Fainali CAF 1993 ambao Yanga mpaka sasa toka tupate uhuru haijawahi kufikia hiyo hatua. Kila mwaka wao ni jamvi la wageni tu na cha kushangaza timu zinaomba/kugombania kukutana na Yanga katika hatua ya mtoano.
 
Sijabisha ila kama hujanielewa vile nimesema penye kushangilia wacha tushangilie huo ubingwa wewe uliyeuzowea kashiriki uchukue hilo kombe.

Hilo jamvi la wageni unalijua wewe.

Yanga daima ni jamvi la wageni katika hatua ya mtoano....haijawahi kushika hata nafasi ya kwanza katika kundi....wao kila kukicha wanashikilia mkia au nafasi moja juu ya mkia. Hasara kwa wafadhili wao wauza unga na inasikitisha sana. Misukule oyeeee!
 
Simba yenu hata ubavu wakufika huko haina mtaishia kupiga mayowe lkn yanga na Serengeti boyo pekee ndiyo wa wakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa.

Bado ni mtoto na hauna takwimu zozote.....ungekuwa na akili timamu wala usinge andika upuuzi huu. Endelea kubwia unga tu.
 
Bora hata anayesindikiza maana anajifunza namna ya kusafiri, je hao wasio sindikiza hawatamu huko kusindikiza?

Yaani miaka nenda miaka rudi, hujajifunza kusafiri tu? Unafaidika na nini kuwa msindikizaji kama si ujinga na uzezeta wa kuwa Msukule?
 
Fainali CAF 1993 ambao Yanga mpaka sasa toka tupate uhuru haijawahi kufikia hiyo hatua. Kila mwaka wao ni jamvi la wageni tu na cha kushangaza timu zinaomba/kugombania kukutana na Yanga katika hatua ya mtoano.
Vipi mlichukua hilo kombe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom