YANGA vs NATIONAL Al AHLY

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Ule mtanange tuliokuwa tunausubiri kwa hamu utapigwa kesho saa 9 alasiri pale uwanja wa Taifa huku vijana wa jangwani wakituhakikishia Watanzania kuwa ushindi ni lazima tena wa kutakata. Haya wadau wenye information kuhusu mchezo huu mwageni kwenye thread hii.
Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania.

DAILY NEWS Reporter, 3rd April 2009 @ 07:00Mainland champions Yanga insisted yesterday that there was no reason to fear, as they are set to clash holders Egyptians Al Ahly in the Africa Champions League tie at the National Stadium in Dar es Salaam tomorrow. Al Ahly arrived on Wednesday brimming with confidence that they will sweep past Yanga come tomorrow. Yanga Secretary General, Lucas Kisasa, said yesterday that the mood was right and players are ready to become legends. He said the players received a timely morale boost from the team’s Chief Financier, Yusuf Manji, who offered 500,000/- to each player yesterday. “Players are aware that a win against Al Ahly will definitely make them legends and they are ready to achieve that milestone,” he said. Kisasa said security will be tight and that no person without an authorized ticket would be allowed into the venue. “We had a meeting with the Minister for Information, Culture and Sports, George Mkuchika, to discuss security issues ahead of the match. The minister directed us to ensure that security is given maximum priority. “We have already consulted the security organs including police and we have printed limited tickets according to the seats available at the venue. The tickets will strictly be sold from today and early tomorrow,” he said. Security issue seem to have been taking a centre stage ahead of the match, following the recent unfathomed incident in Cote d’Ivoire, where at least 22 supporters lost their lives, when a wall collapsed at the Felix Houphouet-Boigny stadium in Abidjan, shortly before Cote d’Ivoire beat Malawi 5-0 in a World Cup qualifying match. The Jangwani Street team had earlier insisted that the first round, second leg match should be played at the Uhuru Stadium, the venue they believed that could help them overcome the 3-0 defeat the team suffered in the first leg in Cairo some three weeks ago. Yanga claimed to have long experience with Uhuru Stadium than the National Stadium. However, the Tanzania Football Federation (TFF) advised to use National Stadium because the Uhuru Stadium was considered too small to handle the match. TFF argued that given the nature of the match, it will definitely attract a huge crowd that could not be handled by the old stadium, which is reportedly to have a maximum capacity of holding 25,000 fans. The National Stadium can accommodate up to 60,000 seated fans. Yanga positively accepted the TFF advice and just yesterday the Confederation of African Football (CAF) and the Egypt football governing body gave green light to the change of the venue. They were earlier informed that the match would be played at the Uhuru Stadium. Yanga were expected to train at the National Stadium in Dar es Salaam yesterday evening, while Al Ahly will train at the same venue today evening.
 
Yanga wasubiri kipigo; wameshaanza visingizio mara ooh uwanja mpya hatujauzoea, ... mechi kubwa kama hizi siyo saizi yenu!
 
Yanga wasubiri kipigo; wameshaanza visingizio mara ooh uwanja mpya hatujauzoea, ... mechi kubwa kama hizi siyo saizi yenu!

Wewe utakuwa Simba tu, hachapwi mtu waarubu washaingia hofu, jana wamefanya mazoezi viwanja vya IST pale masaki wamekataa kabisa mashabiki kwenda kuwaona hii ni dalili tosha wanatuogopa. Ushindi sio suala la mjadala hapa issue ku-overcome a deficit of 3-0 goals...
 
Kila la heri Yebo Yebo, lakini sijui kama mtatoka na ushindi, bao nne si mchezo. Tatizo na kocha wenu alishakata tamaa toka alipofungwa mwanzo.
 
Kila la heri Yebo Yebo, lakini sijui kama mtatoka na ushindi, bao nne si mchezo. Tatizo na kocha wenu alishakata tamaa toka alipofungwa mwanzo.
Ndugu yangu yebo yebo wana pigwa bao mbili, hilo ndiyo swala zima..mwaka huu watataga...mungu ibaliki tanzania Mungu ibaliki Al Ahly iweze kuchomoza na ushindi mnono....
 
Yanga kupata bao 4-0 ni ngumu sana!

Ila lolote ktk soka linawezekana!

Mbona Argentina kapigwa bao 6-1 na Peru??
 
wadau mimi ninaomba kama kuna mwana JF ambaye ana ukaribu na TFF naomba awaulize kwa nini wanaoingia uwanja mpya hawakai vitini kwa kulingana na namba ambazo ziko kwenye tiketi zao,utaratibu huu ungefuatwa si ungesaidia kuthibiti mapato maana tungejua hata kabla mechi kumalizika kwamba exactly watu wangapi wameingia uwanjani?
 
wadau mimi ninaomba kama kuna mwana JF ambaye ana ukaribu na TFF naomba awaulize kwa nini wanaoingia uwanja mpya hawakai vitini kwa kulingana na namba ambazo ziko kwenye tiketi zao,utaratibu huu ungefuatwa si ungesaidia kuthibiti mapato maana tungejua hata kabla mechi kumalizika kwamba exactly watu wangapi wameingia uwanjani?
Kwani tiketi zina namba maana nilisha wahikusikia hazina siti namba...
 
Yanga watashinda 5-Aw ns kuwatupa nje mabingwa watetezi, pia nitakuwepo uwanjani hivyo nitawafamisha moja kwa moja yatakayuojiri kuanzia leo saa 9 pale dimbani Taifa.
 
Yanga watashinda 5-Aw ns kuwatupa nje mabingwa watetezi, pia nitakuwepo uwanjani hivyo nitawafamisha moja kwa moja yatakayuojiri kuanzia leo saa 9 pale dimbani Taifa.
labda hizo 5 apigwe yanga na ninaomba iwe hivyo mna mdomo sana..
 
Afadhali yanga walikubali kubadilisha uwanja, na mvua hii tungeaibika sana kama kipute kingekuwa uwanja wa uhuru
 
Dakika ya nne goli, takika ya 18 now. Wanahitaji magoli matano kushinda!! LOL!
 
Back
Top Bottom