Dakika ya nne goli, takika ya 18 now. Wanahitaji magoli matano kushinda!! LOL!
Kipindi cha pili kinaanza sasa...
Waarabu wazuri sana wanacheza kama wapo kwenye om ground yao...yanga ndo hivyo tena kushnei..wanachofanya sasa kuzuia yasiingie mengi japo libaki hilo hilo moja tu
Dak ya 24 hapa bado ngoma imelala kwa kandambili
Hawawezi kusonga mbele tena, wawafunge bao 5 kwa muda uliobaki. Nadhani hiyo mechi waitumie kama mazoezi ya kuja kupambana na Simba.
Je tv gani inaonyesha hilo kabumbu?
Mpira umekwisha hapa yanga kashukuru kwa kulala na kamoja hako
Poleni Yebo Yebo, sasa tubanane wote TZ, lakini sisi bado tuna kazi ya kutafuta nafasi ya pili.
hahaha! bahati yako upo mbali nao vinginevyo ungepokea kwenzi hapo kama ungekuwa jiran na Yanga aliyekunywa maji ya bendera ya Chama!!Hongereni Yanga. Angalau safari hii timu imefanya vizuri (5-0) kuliko ile ya akina Amasha (8-0)