Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
CONTEST: Vodacom Premier League Matchday 11
VENUE: Main National Stadium
KICK-OFF: 1630 hrs EAT
LIVE COVERAGE: TBC Taifa
ONLINE UPDATES: Via JamiiForums
 
Nauli za leo:-
VIP A Tshs 20,000/=
VIP B & C Tshs 15,000/=
Orange Tshs 8,000/=
Blue & Green Tshs 5,000/=
 
Star tv ndo wamebaniwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.?
 
Kikosi cha kwanza cha timu ya wananchi:

1.Ally Mustapha 'Barthez'
2.Shadrack Nsajigwa
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Mbuyu Twite
6.Athuaman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima
 
Kikosi cha kwanza cha timu ya wananchi:

1.Ally Mustapha 'Barthez'
2.Shadrack Nsajigwa
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Mbuyu Twite
6.Athuaman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Ubao mrefu a.k.a benchi
1.Yaw Berko
2.Nurdin Bakari
3.David Luhende
4.Kelvin Yondani
5.Nizar Khalfani
6.Rashid Gumbo
7.Jeryson Tegete
 
ImageUploadedByTapatalk1351690163.329294.jpg
Yanga vs Mgambo
 
Alah .. timu inayoongozwa na kufadhiliwa na mpakistani itakuwaje ya wananchi!

Wivu huo.
Mkibaguliwa nyie mnalalamika, Yanga ni timu ya wananchi, kwa mujibu wa historia.
 
Ngoja nikanunue betri niweke kwenye mkulima wangu
 
Back
Top Bottom