Yanga vs Mbeya City Council LIVE Updates.

Naona Dida mdogo'mdogo anamaliza zama za Kaseja
 
Eee Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema uishie mahali pa juu palipoinuka, nakuja mbele zako mimi mwanao nikiwa na ombi la kwamba uwasaidie Mbeya City na Yanga wapate sare ili kusiwe na fujo kama zilizotokea uwanja wa Sokoine kule Mbeya, kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amen.
 

Dua la kuku hili halimpatwi mwewe
 
HAWA MCC ndo walimfukuzisha yule kocha mwingine wa Yanga.
 

Neno tension kwa mazingira kama haya maana yake ni hofu.
 
Juma Mwampusi presha inapanda na kushuka
 
ndio hao hao..

Mkuu we mbinafsi sana yani umeona kuweka updates hapa utaonekana hujafanya kazi mpaka uanzishe thread nyingine?!

Mbona mnazianzishaga hapa mnaziiacha sisi tunaupdates?!

Acheni ubinafsi huo!
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/597706-live-updates-02-02-2014-yanga-vs-mbeya-city-4.html
 
Kwani yanga ndo nini? Ni SACCOS au ni shule ya seconday?
 
anselm nashukuru kwa kunisahihisha but nadhan soon baada ya mech ya MCC na yanga Brandts mambo yalianza kwenda mrama na Yanga walisahahu kuwa walimpokea kwa Mbwembwe sana yule kocha. asante kwa kunirekebisha.
 
Kipa kadaka shuti la moto la Didie Kavumbagu kaumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…