N Nyonga mkalia ini Member Joined Mar 11, 2013 Posts 38 Reaction score 7 Apr 13, 2013 #21 mpira umeanza,Yanga wamevaa jezi ya kijani huku mabegani kuna michirizi ya njano na Oljoro wamevaa blue bahari mabegani kuna rangi nyeupe
mpira umeanza,Yanga wamevaa jezi ya kijani huku mabegani kuna michirizi ya njano na Oljoro wamevaa blue bahari mabegani kuna rangi nyeupe
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #22 mandieta said: Ngoja kwanza Yanga afungwe kwanza mkuu! Click to expand... mkuu mbona unaanza kutupa wasiwasi kama utatimiza ahadi!!!
mandieta said: Ngoja kwanza Yanga afungwe kwanza mkuu! Click to expand... mkuu mbona unaanza kutupa wasiwasi kama utatimiza ahadi!!!
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,259 Apr 13, 2013 #23 mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Apr 13, 2013 #24 mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana.
mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #25 NGANU said: Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana. Click to expand... mkuu ulimmiss sana kwenye hiyo issue ya kubanduliwa baada ya mechi!
NGANU said: Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana. Click to expand... mkuu ulimmiss sana kwenye hiyo issue ya kubanduliwa baada ya mechi!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #26 adakiss23 said: Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... mi ndo ntakuwa wakwanza usihofu mkuu hiyo shughuli niachieni..
adakiss23 said: Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... mi ndo ntakuwa wakwanza usihofu mkuu hiyo shughuli niachieni..
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Apr 13, 2013 #27 daah yanga wanapata goli
princetx JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 587 Reaction score 265 Apr 13, 2013 #28 Canavaro kawauwa
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Apr 13, 2013 Thread starter #29 NGANU said: Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana. Click to expand... Usikonde mkuu! Mods walinisurubu bhana.
NGANU said: Nilikumiss sana kamanda wangu, karibu sana. Click to expand... Usikonde mkuu! Mods walinisurubu bhana.
N Nyonga mkalia ini Member Joined Mar 11, 2013 Posts 38 Reaction score 7 Apr 13, 2013 #30 Yanga 1 Oljoro 0
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #31 brave one said: daah yanga wanapata goli Click to expand... tusije kosa kubandua mtu hapa!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #32 Nyonga mkalia ini said: Yanga 1 Oljoro 0 Click to expand... nani mfungaji!
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Apr 13, 2013 Thread starter #33 brave one said: daah yanga wanapata goli Click to expand... Yanga AKIFUNGWA nibandueni bhana!
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Apr 13, 2013 #34 mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Nimefurahi sana kukutana na post yako. Hakika lazima nikawaambie wachezea Libolo kuwa: viwete wanatembea, vipofu wanaona, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema. Karibu sana Mkuu.
mandieta said: Yanga akifungwa leo 'nibandueni' Click to expand... Nimefurahi sana kukutana na post yako. Hakika lazima nikawaambie wachezea Libolo kuwa: viwete wanatembea, vipofu wanaona, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema. Karibu sana Mkuu.
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 692 Apr 13, 2013 #35 du chezea yanga
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 13, 2013 #36 SAMRICH1 said: du chezea yanga Click to expand... hawa yanga hawajui kama sisi tuna ahadi ya kubandua!
SAMRICH1 said: du chezea yanga Click to expand... hawa yanga hawajui kama sisi tuna ahadi ya kubandua!
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Apr 13, 2013 #37 mandieta said: Yanga AKIFUNGWA nibandueni bhana! Click to expand... mkuu unahatari aisee
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #38 Zamaulid said: mkuu ulimmiss sana kwenye hiyo issue ya kubanduliwa baada ya mechi! Click to expand... umeona enheee....
Zamaulid said: mkuu ulimmiss sana kwenye hiyo issue ya kubanduliwa baada ya mechi! Click to expand... umeona enheee....
N Nyonga mkalia ini Member Joined Mar 11, 2013 Posts 38 Reaction score 7 Apr 13, 2013 #39 Yanga inatisha uwanjani hapa,mfungaji alikuwa canavaro alifunga mpira wa kona kwa kichwa
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 13, 2013 #40 brave one said: daah yanga wanapata goli Click to expand... usihofu wametangulia hao..