CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Ni saa 10.00 taifa.
Leo tunamvua rasmi Simba ubingwa!
Sasa kila mechi tutakayokua tunashinda ya ligi kuu kila mchezaji atalamba 70,000 cash.
Pia mabilionea Abdallah Binkleb na Seif Ahmed Magari wameahidi kutoa 5m-10m kwa kila mechi Yanga watakayoshinda.
Pia kuanzia mechi ijayo magori yatakua biashara nzuri kwa wachezaji,kila gori kununuliwa kwa bei mbaya!
Nia ni kushinda mechi tatu mfululizo ili kutangaza ubingwa mapema.
Mechi hizo ni Dhidi ya(Oljoro JKT,mgambo JKT,ruvu JKT)
Naomba Yanga ifungwe na JKT Oljoro, hata goal moja latosha.
gamu isha uzwa hiiYoung Africans Sports Club Wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga SC, manaombwa kujitokeza kwa wingi leo katika uwanja wa Taifa ili kuishangilia timu yenu itakapokua inamenyana na timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha Hapatakuwa na matangazo ya mojamoja kwenye luninga SUPERSPORT kama ilivyotaarifiwa hapo awali. EVER FORWARD, BACKWARD NEVER (EFBN)napita tu tutaonana baadae
orjoro wakijifunga linanunuliwa?Young Africans Sports Club Wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga SC, manaombwa kujitokeza kwa wingi leo katika uwanja wa Taifa ili kuishangilia timu yenu itakapokua inamenyana na timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha Hapatakuwa na matangazo ya mojamoja kwenye luninga SUPERSPORT kama ilivyotaarifiwa hapo awali. EVER FORWARD, BACKWARD NEVER (EFBN)napita tu tutaonana baadae
mkuuu naomba mi nisiwemo kwenye hilo zoezi!Yanga akifungwa leo 'nibandueni'
Yanga akifungwa leo 'nibandueni'
Nasisitiza tena,Yanga AKIFUNGWA leo nibandueni!mkuuu naomba mi nisiwemo kwenye hilo zoezi!
Yanga akifungwa leo 'nibandueni'
Mkuu usipende kutoa ahadi za ajabu ajabu hivyo.
Nasisitiza tena,Yanga AKIFUNGWA leo nibandueni!
Mkuu usipende kutoa ahadi za ajabu ajabu hivyo.
Yanga akifungwa leo 'nibandueni'
mkuu kwa huu msisitizo tusilaumiane baadaye!!kuna watu walishashindwa kujing'ata mgongo humu!!!Alhamdulillah!....
na usipotekeleza hii tarajia ban ya maisha haki ya nani!!!Ndio nshasema sasa!
Kwanza nna machungu mods walini double 'ban'
Tutakupata wapi? ha ha ha ha ha haYanga akifungwa leo 'nibandueni'
Tutakupata wapi? ha ha ha ha ha ha