Mi sikutegemea wala kuwazia Azam wataifunga Yanga leo, hata baada ya kutangulia kupata bao.
Unajua kwanini
Kwanza Azam haina kawaida ya kufunga Yanga
Pili hawakuwa ktk kile kiwango walichoifunga Simba 3 - 2
Tatu staili yao ya kushambulia kwa kumtegemea Ngassa (ndio Messi wao) mchezaji ambaye Yanga wanamjua mpaka unyayo inawaponza sana