Yanga vs Atletico ngapi ngapi

Yanga vs Atletico ngapi ngapi

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Wadau nihabalisheni matokeo ya Yanga na Atletico coz nimekuwa busy sana leo so cjui nini kimeendelea Taifa please!
 
Bado bila bila...hadi dak 78 kipindi cha pili
 
Yanga amechapwa goli mbili bila majibu
 
Naipenda sana yanga ila leo tumecheza ovyooo,. Shukran kwa beko lasivyo yangekua mengine
 
Wanayanga tusikate tamaa na kuanza kulaumiana tumpe kocha muda.
Kesho tuchague uongozi wa kuanza kuijenga Yanga kwa kushirikiana na kocha
 
Kipindi cha mpito tutatulia tu na mambo yetu yatenda poa
 
wamefungwa goli mbili kwa taaabu sana maana kelvin yondan si mchezo..vinginevyo leo wange tandikwa saba kama wenzao, yanga siyo timu ya mpira wajaribu masumbwi.
 
wamefungwa goli mbili kwa taaabu sana maana kelvin yondan si mchezo..vinginevyo leo wange tandikwa saba kama wenzao, yanga siyo timu ya mpira wajaribu masumbwi.

kweli make yule aliocheza nae fainali mwaka jana ilikua timu ya mieleka
 
Mbinu za Mbelgiji bwana! Yanga Chali! Nimewatch game live Startv Yanga kiwango bado.
 
mazoezi ya yanga hakuna afrika nzima, mshahara wa kocha mpya ni funika mbovu, kikosi yanga ni kama Baka!
 
Yanga wanakocha bora duniani..na mazoezi yao hayajawahi kuonekana.....ha ha ha..timu ya magazeti hiyo..na asingekuwa berko mngepgwa zaidi ya mkono
 
Ina maana Pirlo feki (Chuji) hakucheza?!
 
Back
Top Bottom