Mpira umekwisha dk.90 zimeisha. Yanga 4 African Lyon 0.
Posts hizi zimeletwa kwenu kwa uzamini wa Gongo, mnazi na Chibuku kwa afya safi.
Pengo la Mbuyu Twitte kwenye kurusha na kupiga faulo linaonekana mashuti yake yale balaa
Simba nyau aliwafunga 3
Hongereni wanajangwani..
nilijua mtaitupia tano kama mlizotupiwa na simba au mnaziweka kwa ajili ya simba..
Mambo mazuri hayataki haraka .Njooni j2 muone vijana wamsimbazi watakavyo wakimbiza hao libolo
Simba nyau aliwafunga 3
Nyinyi Simba kaeni kimya msubiri U.B.O.O
duu hii lazima yangu ishinde maana tukikutana nao wanajua tutawafunga halafu tutalingana..
Tupeni matokeo wajameni