Yanga turudisheni bakora Kama Zamani

Yanga turudisheni bakora Kama Zamani

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,360
Reaction score
5,846
Msimu mpya unakaribia Kuanza,mchezaji anayefikiria kuhujumu timu Kama msimu uliopita ni bora aondoke zake mapema.hatuwezi kuvumilia kumfunga Simba goli tatu na zikarudi zote kipindi cha pili.hatuwezi kuvumilia kufungwa na mgambo magoli 2 ya kizembe,washambuliaji kutokujituma uwanjani na kushinda mechi 3 tu ugenini.tunataka ubingwa kwa Mara ya 25.
 
Nini kupigwa goal 3 na Mnyama,,,hata AC MILAN aliongoza goal 3 lakini Liverpool walizirudisha. Haya ndio matatizo ya club kuongozwa na wanachama wamekaa kisiasa zaidi kwenye mpira maana soka letu haliendelei. Wao wanachojua ni kushinda tu ukifungwa umeuza match.

By the way, we YeboYebo jipangeni maana naona wachezaji wako wanakimbilia Azam tuu na leo Chuji katoa.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ulimsikia jamhuri Kiwelo alichosema star tv kuhusu hujuma iliyofanywa kupitia mamluki ndani ya Yanga na wakaweza kurudisha Yale magoli..Rage anaita Yanga Simba B.....ndio maana tunaweka tahadhari kwa wachezaji...mwaka 95 tulifukuza wachezaji wote..hii ndio Yanga ?
 
Back
Top Bottom