Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Mimi yangu hyo leta na ww ya kwako ya Yanga kuchukua mara 27
Inaitwaje source yako? umescreenshot lkn jina ya hiyo App halipi,Mimi rekodi ya Yanga kuchukua ubingwa mara 27 niliiona kwenye gazeti la Champion na Mwanaspoti mwaka jana.

Ila kuna site imechambua vizuri 👇👇
 
sijaona washabiki wa simba wajiteseka kama mwaka huu, maneno ya kila namna wanamaliza, Gsm atawatia uchizi maana anasema huu ni mwanzo tu
 
Humu umechanganya mabingwa wa Ligi ya Tanzania Bara na Mabingwa wa Muungano.

Mfano hao Pamba, KMKM na Malindi ni mabingwa wa Kombe la Muungano. Prosons hajawahi kutwaa Ubingwa wa Bara bali 1998 na 1999 mabingwa walikuwa ni Mtibwa Sugar. So kokote ulikoipata Taatifa hii ni taatifa potofu. Nashauri ufute hii thread.

Simba Nguvu Moja
 
hapa ni kuchallange TFF kwamba Simba hawatambui takwimu za yanga kuchukua Mara 27 la sivyo walete ushahidi wa ubingwa wa kila timu Tanzania na mwaka wa ushindi,na vikosi vya hizo timu. Maana wenzetu wanaleta bla bla oooh sisi mabingwa wa kihistoria kumbe porojo
 
Mzee mbona unaleta taarifa za kubumba kwenye blogs!?
Check hapa:-
Yaani umeleata rekodi zako kupitia hiyo website ina makosa kibao wadau wanakupinga ila bado hujustukii,nimekupa sources hutaki kuikubali.Hao rssf walianza lini kulifuatilia soka la Tz.Kama Somaji wa Champion au Mwanaspoti mara zote wakitoa rekodi za ubingwa mf mwaka jana Yanga 27, Simba 21.
 
Record zako za uongo nenda kaangakie vizuri 1992 na 1993 umetupiga yanga hawakuchukua kombe mwaka hiyo. Umeandika uongo kwenye blog yako.
 
Mzee hebu wewe umeleta ikiwa sawa. 1992 na 1993 yanga hakuchukua ubingwa lakini umeweka shame on you.
 
Mzee hebu wewe umeleta ikiwa sawa. 1992 na 1993 yanga hakuchukua ubingwa lakini umeweka shame on you.
Wewe bisha ila nakuomba siku ikikaribia mechi ya Simba na Yanga,tafuta nakala ya Champion na Mwanaspoti utapata majibu ya uhakika,wanatoaga rekodi zote na hiyo Yanga kuchukua 27 utaiona japo hutaki.
 
Record zako za uongo nenda kaangakie vizuri 1992 na 1993 umetupiga yanga hawakuchukua kombe mwaka hiyo. Umeandika uongo kwenye blog yako.
umeniquote mi sijaandika mwaka wowote waliochukua kombe yanga
 
Wewe bisha ila nakuomba siku ikikaribia mechi ya Simba na Yanga,tafuta nakala ya Champion na Mwanaspoti utapata majibu ya uhakika,wanatoaga rekodi zote na hiyo Yanga kuchukua 27 utaiona japo hutaki.
Mzee mwaka 1992 na 1993 umebumba mzee record zote tunazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…