Hao Ruvu Bure kabisa, round ya kwanza walikuwa wanaongoza mbili bila matokeo ya mwisho wakapigwa tatu, hata leo sina imani nao kabisa watabana baadaye watafungwa tu.
Mkuu Matatizo Makubwa zinapokuwa zinacheza timu mbili inabidi uchague moja ya kuishabikia, leo nimechagua Ruvu, Ruvu kazeni acheni kujilegeza nyie ni wanajeshi.