au tunacheza za timu zaidi ya 1Dak. 27 bado 0-0. Speed ya Ruvu Shooting bado iko juu.
hapa si bure huenda simba na azamu wako ruvu!!Dk 30
Yanga wanapata freekick nje kidogo ya 18.
Niyonzima anapiga....kona
Kona inapigwa...mpira unatoka.
Yanga 0 - 0 Ruvu Shooting