TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
yaani hapa nilipo nacheka sana sana....baada ya mechi nitakupigia mkuu..usizime simu
Mkuu ngoma imeisha tayari.
yaani hapa nilipo nacheka sana sana....baada ya mechi nitakupigia mkuu..usizime simu
Hawa Mtibwa nao wananiangusha.
Heshima imerudi mjini na nyie jana mmeng'ang'aniwa kisawa sawa