Yanga sc vs mtibwa sugar fc

Yanga sc vs mtibwa sugar fc

Goooooooal,nin hapa, ni goal kick,mtibwa wanakosa gol la wazi kbsa.
 
Hivi ubao unavyosoma unanisonesha lkn any way dk zetu bado

uploadfromtaptalk1359815319056.jpg
 
Wewe huyo huyo unauliza, wewe huyo huyo unajijibu, umbea kazi!

Utatulia tu, si umetumwa na msomali, we ngoja, utatafuta pa kutokea
Mkuu hiyo post ya pili nimeiweka baada ya kuona post ya mdau inasema Mtibwa wamekosa goli na ile ya kwanza nilikuwa sijaona post ya huyo mdau sasa kosa langu nini? Naona hata mfungaji wenu wa raundi ya kwanza analalamika Tegete anamroga ndo maana hafungi, vipi yana ukweli hayo?
 
dk zinaelekea kumalizika .mtibwa lazma achukue point 6 kutoka kwa YANGA .
 
Mtibwa watachukuwa 6 points from yang africans.
 
Simulia wakipata bana, ya kukosa ya shetani waachie simba wa somalia
hahahaha La Biblicana we jamaaa huwa unanifurahisha sana na majibu yako,,Big up ur self!! nikikumbuka ile post yako ya Unafiki kwenye daladala huwa natabasamu.hahahaha La Biblicana
 
Back
Top Bottom