Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,787 Reaction score 37,993 Jan 31, 2026 #1 Game itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili yanga watatawala mpakamwisho ushauri yanga washambulie mwanzo mwisho wasijilinde 2-1 2-0 1-0 all d best yanga
Game itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili yanga watatawala mpakamwisho ushauri yanga washambulie mwanzo mwisho wasijilinde 2-1 2-0 1-0 all d best yanga
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,286 Jan 31, 2026 #2 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,369 Reaction score 10,469 Jan 31, 2026 #3 We mchawi umesababisha mikeka ya watu ichanike.