Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,645
- 2,656
Malengo huwa yanaboreshwa,Uongozi ,team na kocha Kwa ujumla kashaambiwa lengo Ni makundi ,nyinyi mnapiga kelele mnataka kwenda wapi ..?
Ndg yangu, mpira hauchezwi mafichoni. Yanga wajipange mwakani ishaAllahYanga bado haijatolewa kwenye mahesabu. Bado kuna mechi nyingine.
Hakuna kukata tamaa.
Daima mbele nyuma mwiko
NO RETREAT NOR SURRENDER!
1. Wako makundi tofauti, angalau kundi la Simba limelegeaSimba hawataki kuangalia msimamo wa kundi wanaongea kwa ushabiki tu.
Hivi nyie mpaka leo mmeshinda mechi ngapi?
Ni kweli Ila Yanga alikuwa na nafasi, hasa kipindi Cha pili, alikosa utulivu tu.Michuano hii inachezwa kwa hesabu kali sana, Mechi ya leo kila timu iliona mpinzani wake ndio wa kujichukulia point
Mtaongea kila maneno lakini tatizo sio mbinu za kocha au wachezaji bali ni timu mnazo kutana nazo.Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla.
Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani
Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo.
[emoji119] Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu
[emoji119]Yanga kwa sasa ndio timu Bora hapa Tanzania
a)Umoja - viungozi na mashabiki
b)Uongozi Bora, Eng. Hersi
c)Uwazi
d) Mafanikio nk
NINI HASA KINAWAKWAMISHA YANGA KUFANYA VIZURI CAFCL?
1. Kocha si Bora katika mbinu.
Mechi kama ya Leo dhidi ya Medeama FC angelikuwa Prof. Nabi angechukua point 3
2. Mashabiki wa timu ya Yanga SC, wamejitoa katika jukumu la kuikosoa timu, hasa katika Michuano ya CafCl, labda kwa sababu wameshafikia malengo.
3. Ukosefu wa baadhi ya wachezaji katika maeneo muhimu ya uwanja Kiungo(box2box), 9, Winger.
4. OverConfidence Kuanzia kwa bench la ufundi mpaka wachezaji, hivo inasababisha kukosekana kwa utulivu
USHAURI WANGU( Nanyi pia mtaongezea)
1. Kocha aboreshe mbinu, High pressing n nzuri lakini iwe yenye mipango.
2. Mashabiki wawe realistic, watimize wajibu wao wa kukosoa
3. Uongozi ufanye usajili wa Middle(Holding/Box2box), Winger, 9, 3
4. Wafanye marekebisho ya mikataba hasa wachezaji wa ndani, ili timu iendelee kuwa imara yapasa iwatunze wachezaji Bora ilio nao kama Diara, Aucho, Pacome nk
Yote kwa yote, asanteni kwa kushiriki, chukue point 3 kwa Medeama, point 1 kwa CR Beluzdad ili angalau mfikishe point Point 6.
Bilashaka itakuwa historia katika timu ya Yanga,
Karibuni kwa hoja, wadau
Wewe uliyeshinda unazo point ngapi?Simba hajashinda anazo point 2Simba hawataki kuangalia msimamo wa kundi wanaongea kwa ushabiki tu.
Hivi nyie mpaka leo mmeshinda mechi ngapi?
Limelegea Kwa kigezo kipi?1. Wako makundi tofauti, angalau kundi la Simba limelegea
2. Currently, Yanga n Bora kuliko Simba
Wanadanganywa na waandishi wao wa mwanaspotiNdg yangu, mpira hauchezwi mafichoni. Yanga wajipange mwakani ishaAllah
Hongera Sana kwa uchambuzi huuBaada ya mchezo wa leo, nilijuliza kama kweli bado Yanga ina nafasi. Nimechambua scenarios kadhaa ma kujiaminisha kuwa Yanga bado ina uwezo wa kwenda robo fainali iwapo itashinda michezo yote miwili ya nyumbani dhidi ya Medeama na CR Belouizdad, na kulazimisha sare ya ugenini dhidi ya Al Ahly. Matokeo hayo yataipa Yanga point 9 na kuweka ugumu sana kwa timu nyingine kufikisha idadi hiyo ya point.
View attachment 2837082
View attachment 2837083
Fc MajedwaliBaada ya mchezo wa leo, nilijuliza kama kweli bado Yanga ina nafasi. Nimechambua scenarios kadhaa ma kujiaminisha kuwa Yanga bado ina uwezo wa kwenda robo fainali iwapo itashinda michezo yote miwili ya nyumbani dhidi ya Medeama na CR Belouizdad, na kulazimisha sare ya ugenini dhidi ya Al Ahly. Matokeo hayo yataipa Yanga point 9 na kuweka ugumu sana kwa timu nyingine kufikisha idadi hiyo ya point.
View attachment 2837082
View attachment 2837083