Kuhusu 1 na 2 nilikua naeleza ni jinsi gani timu ilivyo na ukata mkubwa kwa sasa.. Hivyo ikawa rahisi kwa Ndala siku ya jana kutembeza miamala.1) je kutokuripoti kwa Shafiq Batambuze tokea msimu uanze imei favour Yanga peke yake au timu zote zilizokutana na Singida kabla ya mechi na Yanga? au mechi ya Yanga vs Singida ndio ilikuwa mechi ya kwanza kwa singida?
2) kwahiyo mkuu tutegemee kuwaona makocha pamoja na kipa wakirejea kuitumikia Singida united baada mechi ya Yanga kumalizika? Au ndio timu zingine nazo zitacheza na Singida iliyokuwa na upungufu wa hao watu?
3)kutokana na kauli yako ya undugu wa Singida na Yanga je msimu uliyopita Yanga aliamua kutomfunga kwa makusudi Singida kwenye mechi zao zote walizokutana? Hivyo hata kwenye mechi ya shirikikisho Yanga aliamua kutolewa na Singida kutokana na undugu?
Ajibu akija leo Simba anasugua benchi kama kawaida, ndio maana aliona bora akimbilie Yanga hakuna viwango kama chake.Ila tusemage tu Na ukweli, kwa uchezaji wa yanga na simba...yanga ipo vizuri technical, na skills kuliko simba pakubwa,, ,,af yanga inacheza Kitimu zaidi kuliko simba... Ubora wa simba upo kwa mchezaji mmoja mmoja lkn suala la technical na skills simba hawako vizuri sana!!!!! Cha kufurahisha yang leo walikuwa na consistency mwanzo mwisho tofauti na game tatu zilizopita, wakicheza na simba bila kuchoka hasa kipindi cha pili ....simba lazima walie, uwezo wa Ibrahim ajib sijaona wa kumzuia pale simba kutawanya mipira kifundi vile...!!
Sawa ila Jumapili mtaonja kufungwa.Yanga wameshinda mechi zote sio ya leo tu..Yanga wamecheza mechi nne wana pointi 12.. Hawajafungwa wala kudroo kama Simba
Hiyo nusu fainali ya club bingwa simba ilicheza mwaka gani...??? Ilicheza na timu gani..??? Hizi ndoto za alasir mbaya sana.Yaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.
Amefika Fainali Kombe la Shirikisho, zamani (Caf)
Nitajie Yanga imefika wapi kwenye michuano hii mikubwa Afrika kama IQ yako inafanya kazi.
Karibu...!
Baada ya Mbao FC kugomea msiingie kwenye change room zao naona mmekuwa wenye kuweweseka sana.Ni kweli Mkuu.. Sisi wengine tunapambana dk 90, kwa nguvu na akili nyingi na tunatoka na ushindi wa kihalali lakini kwenu ni mambo ya Rose Muhando. Ila si mbaya 30/09 tutakata ngebe zenu.
. Kwani yule wa mbao aliwafanyaje pale kirumba..Ni kwa mbinde sana. Mfano mzuri unakumbuka kitenge alichowafanya?
Ajibu akija leo Simba anasugua benchi kama kawaida, ndio maana aliona bora akimbilie Yanga hakuna viwango kama chake.[/QUOTKwaiyo ndio inakuwaje...???
Hahaaaa lete ushahidi mkuuMkuu mbona umepaniki.. Kwani uongo? Jana bila nguvu ya muamala, mlikua mnachezea.
Hahaha... Mkuu nipo mezani hapa namalizia kuyapanga haya kafaili.. Kesho mapema tu, nitaukabidhi ofisi husika.. Jambo la msingi kwako ni wewe kua karibu na vyombo vyote vya habari.Hahaaaa lete ushahidi mkuu
Hahaha.. Mkuu nadhani utakaua umejichanganya katika uandishi wako.. Hizo shida + tabu ni haki yenu 30/09/2018.Nakwambia tar 30 utapata tabu/shida sana we we Mkia kindakindaki
Ile mechi ya Ndanda ..Yanga alishakuwa bingwa..Ubingwa hakuna hapo. Labda Malinzi arudi TFF.. ili mechi ya away ya Ndanda FC zipigwe Taifa kama zama Zenu aisee!
Gabachori anawadai bilioni 6 nani atamlipa???unauza nyumba ukaweke heshima barMkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.