Yanga SC msingewafunga Singida United Leo.. Dunia Ingesimama.

Hahaha.. Naona mshaanza kutafuta sababu mapema.

Baada ya msimu uliopita kutokuhangaika na mechi dhidi ya mfalme wa nyika.. Mlifikia wapi harakati zenu za ubingwa?
Ha ha ha ha. Eti walisema kwamba watatukuta njiani, mwisho wa mbio tuliwaacha kwa pointi kede kede huku wakiambulia vumbi tu na kupigania nafasi ya pili na Azam FC

Na tukaibuka Kisimba zaidi, Kibingwa zaidi..!
 
Simba huwa hawana akili na ni mambumbumbu kama Rage anavyowaita...!!! Hakuna logic hakua points maandishi yamebebwa na MATAMNIO ya nafsi yake ya yanga ifungwe inapokuwa tofauti ndio na mawazo ya ki,, s, e. Nge haya.
 
Simba huwa hawana akili na ni mambumbumbu kama Rage anavyowaita...!!! Hakuna logic hakua points maandishi yamebebwa na MATAMNIO ya nafsi yake ya yanga ifungweinapokuauw
Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.
 
Hahaha.. Naona mshaanza kutafuta sababu mapema.

Baada ya msimu uliopita kutokuhangaika na mechi dhidi ya mfalme wa nyika.. Mlifikia wapi harakati zenu za ubingwa?
kwa mfano ligi ikiisha leo, nani bingwa?.... Yanga bingwa na mechi moja mkononi.. Yanga wa kimataifa levo zake ni TP Mazembe.. Zamalek...Simba levo zake ni Njombe mji
 
Malinzi aliwabeba sana kipindi hicho.
Malinzi kaongoza TFF miaka tuuu yanga ni wa kihistoria hata kabla ya Malinzi kuzaliwa..!! Mfano yanga kaifunika simba misimu minane 8 sawa na miaka 16 maana msimu mmoja miaka miwili hapa malinzi alikuwa Bukoba.. Hebu tafuta mwingine
 
Ila tusemage tu Na ukweli, kwa uchezaji wa yanga na simba...yanga ipo vizuri technical, na skills kuliko simba pakubwa,, ,,af yanga inacheza Kitimu zaidi kuliko simba... Ubora wa simba upo kwa mchezaji mmoja mmoja lkn suala la technical na skills simba hawako vizuri sana!!!!! Cha kufurahisha yang leo walikuwa na consistency mwanzo mwisho tofauti na game tatu zilizopita, wakicheza na simba bila kuchoka hasa kipindi cha pili ....simba lazima walie, uwezo wa Ibrahim ajib sijaona wa kumzuia pale simba kutawanya mipira kifundi vile...!!
 
Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.
mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??
 
kwa mfano ligi ikiisha leo, nani bingwa?.... Yanga bingwa na mechi moja mkononi.. Yanga wa kimataifa levo zake ni TP Mazembe.. Zamalek...Simba levo zake ni Njombe mji
Msimu ujao kipindi Simba SC akipambana na hao mabingwa wenzake.. Ninyi mtakua jamuhuri stadium mkipambana na Moro kids kuwania kombe la FA
 
Simba huwa hawana akili na ni mambumbumbu kama Rage anavyowaita...!!! Hakuna logic hakua points maandishi yamebebwa na MATAMNIO ya nafsi yake ya yanga ifungwe inapokuwa tofauti ndio na mawazo ya ki,, s, e. Nge haya.
Mbona Yanga waliitwa Wapumbavu na Mapopoma na Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye kipindi kile cha michuano ya Kagame mkafungiwa.

Ambapo safari hii bingwa Azam aliamua kuwasamehe tu baada ya kujitoa? Ulikuwa hujaja mjini?
 
Singida
IMG_20180923_215019_049.jpg
 
mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??
Msimu uliopita Simba SC alichukua makombe 2.. Msimu kaanza na ngao ya hisani.. Pia msimu huu tunashiriki michuano ya klabu bingwa barani Africa.. Haya ni ya kwetu..

Huko kwenu vipi?
 
ALAFU SIMBA USHINDI WA YANGA UNAWAHUSU NINI MPAKA MSHINDWE KULA NA KUKIMBILIA JF KUANZISHA UZI...?????? NYIE TIMU YENU PIA C IMESHINDA HUWA MNAWASHWA WASHWA BILA KUITAJA YANGA KAMA KAKA ENU MINARA...????
 
Hapa ni tunazumgumzia tatizo linaloisumbua nchi yetu.. RUSHWAAA.

Kwann mlungura utembee hadharani? Tunamalizia kukusanya ushahidi.
 
Huyu ni mshabiki wa mkia fc a.k.a nyau fc

Hio ni hange over tu yakipigo kutoka kwa mbao bdo haijaisha
 
mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??
Yaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.

Amefika Fainali Kombe la Shirikisho, zamani (Caf)

Nitajie Yanga imefika wapi kwenye michuano hii mikubwa Afrika kama IQ yako inafanya kazi.

Karibu...!
 
Ni kweli Mkuu.. Sisi wengine tunapambana dk 90, kwa nguvu na akili nyingi na tunatoka na ushindi wa kihalali lakini kwenu ni mambo ya Rose Muhando. Ila si mbaya 30/09 tutakata ngebe zenu.
Shida yenu MNA ghubu na wivu wa kike. Mtapata shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom