Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,768
Baada ya kuwafunga Ankara Sekerspor 3 - 0, mabingwa watetezi wa tz bara kesho tena watakuwa kibaruani kupambana na timu ya Altay SK huko Antalya, Uturuki. Timu hii ni ya daraja la pili Uturuki. Mnaweza kuona kipande kidogo cha mojawapo ya mechi za timu hiyo:
(Jezi nyeusi)
Pia wiki ijayo Yanga itapambana na timu ya Simurq Zaqatala FC[FONT=Segoe UI, Trebuchet MS, Arial, Helvetica, sans-serif] ya Azerbaijan iliyo daraja la pili. Itazame hapa:
(Wenye njano na nyeusi)
[/FONT]

Last edited by a moderator: