Yanga: Rangi zetu zinatuponza jamani

Yanga: Rangi zetu zinatuponza jamani

Natamani turudi kwenye rangi zetu za zamani za njano na nyeusi. Hii ya Nape ni nuksi Fulani hivi.
 
Rangi hazinitishi,mi mshabiki wa Yanga na mwanachama wa CDM

Mimi ndiyo siipendi hiyo CCM kuliko ninavyoweza kuelezea, lakini ninaipenda sana Yanga tangu nikiwa mdogo. kwa hiyo kero yangu mtu anapoihusisha Yanga na CCM kwa sababu ya rangi nitamchukia huyo kuliko ninavyoweza kueleza hapa. niishie hapo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom