Gamondi ni super coach , yanga imekosa namba 9 wa kumalizia wa style ya Fiston predator , mzinze na konkoni ni Wazito Kama Kifaru cha Israel merkava cha tani 70, ni heri kabisa Mara 1000 MolokoGamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told
PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Wakati gamondi anaipokea yanga kutoka kwa nabi..kalibu robo 3 ya wachezaji ote walikua moto sana.Kwa ushindi wa kubebwa?
Leta takwimu acha hisiaWakati gamondi anaipokea yanga kutoka kwa nabi..kalibu robo 3 ya wachezaji ote walikua moto sana.
Lakini kwa miezi hii michache akitoa wachezaji nyota hata wawili tu..waliobaki ote utumbo. Hata hao wenye viwango kipindi hiki viwango naona kama vinashuka.
Mm nahisi kocha wa uimala wa mwili ajitathimini.
Wewe unahisi tatizo nini.?
Au bado huna mashaka na timu yako kwa tunakoelekea?
uwezo wa kuweka basi ruti hiyo anao ila wanagawana ulaji, wapo matajiri wana uwezo wa kuwa na bus ruti zote. Wale wa mamlaka husika watatujuza hii imekaaje🤔🤔🤔Hv kwann mzee
Ana route ya babati dar lkn Arusha dar hana
Matajiri wengi ukitoa Dar wapo Arusha na Moshi!Kwa sababu Arusha ni kijijini
Sasa ww na hyo stroke utajuaje kama Yanga wapo vizuri..,siajabu mpira wnyw unahadisiwa tu!Hiyo ni kweli Yanga hamna kitu aisee.
Pale ni wahuni tu wamejaa
Kesho?Kabisa mkuu yanga hawana kabisa plan wana tegemea bahati tu.. aibu ya taifa inakuja mechi na al ahly
Kuna watu sijui ndo mnafwatilia mpira kwa mara ya kwanza? Hivi timu inaweza cheza msimu mzima au mechi zote kwa kiwango kilekile? Au ndo kulaumu na ujuaji?Mimi ni Yanga Lia Lia na Leo sikufurahishwa kabisa na ball tulilopiga!
Tukicheza hivi na Simba au Al Ahly tutapigwa nyingi! Wachezaji wa Yanga walikuwa wazito sana Leo, hatukupanga mashambulizi kama kawaida yetu! Hatukucheza kwa Ile Kasi yetu ya kuvuruga wapinzani, inabidi wachezaji wafanye mazoezi ya mbio! Tuliwaheshimu Azam kupita kiasi mpaka wakatufanya underdog! Yanga tulicheza slow slow mno na huu si Mpira wetu! Goli la kwanza la Azam lilikuwa la kizembe sana wachezaji wa Yanga hawakukaba kwa umakini. Nondo hakuwa kwenye form leo jamaa huwa hana maboko ya kizembe ya penati namna hii!
Wachezaji wa Yanga walipiga pasi nyingi mno zisizo makini, Zouzoua alizurura tu muda wote anapata mipira na hakuifanyia faida yoyote! Mzize Leo alifeli kabisa ila hakutolewa mapema , Leo Mzize alilazimisha kufunga goli tu hakutoa pasi hata pale wenzake walipokuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga. Mudathir alipwaya sana tangu mwanzo na hakutolewa mapema, Max alipoteza nafasi nyingi za wazi Leo alipuyanga tu!
Leo Pira GAMONDI halikuwepo tumeshinda kwa bahati tu.
Kuna binadamu kwenye life span yake yote, ni mtu wa kulaumu tu!!Kuna watu sijui ndo mnafwatilia mpira kwa mara ya kwanza? Hivi timu inaweza cheza msimu mzima au mechi zote kwa kiwango kilekile? Au ndo kulaumu na ujuaji?
Yule jamaa ndo kapotea hivyo.What is the basis of your conclusion that Gamondi will be sacked by February? They have scored almost 30 gials and conceded only three in open play.
Thus is the beginning of the season I am sure they will improve. No two games are the same. Even the best teams in the don't always pkay a beautiful game. The furst objective of any tesm us to win games. It doesn't matter the way you do it.
Please improve in your gramar or use a language
you are fluent in. English is not one of them.
haha 😅, nothing wrong with my grammar, but everything is wrong with your English.What is the basis of your conclusion that Gamondi will be sacked by February? They have scored almost 30 gials and conceded only three in open play.
Thus is the beginning of the season I am sure they will improve. No two games are the same. Even the best teams in the don't always pkay a beautiful game. The furst objective of any tesm us to win games. It doesn't matter the way you do it.
Please improve in your gramar or use a language
you are fluent in. English is not one of them.
pale nimemaliza, a complete football analysis. In few words. ukiweza translate in swahili. yanga amna timu. we are living off nabi era.Huwezi kuongea tu kwamba bad football bila kuongea facts. Chambua mechi, tuoneshe concerns zako zimebase wapi. Kinyume na hapo, fatisha ushauri wangu wa mwanzo kabisa, tafuta hobby nyingine, mpira sio kitu chako
Mimi ni Yanga Lia Lia na Leo sikufurahishwa kabisa na ball tulilopiga!
Tukicheza hivi na Simba au Al Ahly tutapigwa nyingi! Wachezaji wa Yanga walikuwa wazito sana Leo, hatukupanga mashambulizi kama kawaida yetu! Hatukucheza kwa Ile Kasi yetu ya kuvuruga wapinzani, inabidi wachezaji wafanye mazoezi ya mbio! Tuliwaheshimu Azam kupita kiasi mpaka wakatufanya underdog! Yanga tulicheza slow slow mno na huu si Mpira wetu! Goli la kwanza la Azam lilikuwa la kizembe sana wachezaji wa Yanga hawakukaba kwa umakini. Nondo hakuwa kwenye form leo jamaa huwa hana maboko ya kizembe ya penati namna hii!
Wachezaji wa Yanga walipiga pasi nyingi mno zisizo makini, Zouzoua alizurura tu muda wote anapata mipira na hakuifanyia faida yoyote! Mzize Leo alifeli kabisa ila hakutolewa mapema , Leo Mzize alilazimisha kufunga goli tu hakutoa pasi hata pale wenzake walipokuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga. Mudathir alipwaya sana tangu mwanzo na hakutolewa mapema, Max alipoteza nafasi nyingi za wazi Leo alipuyanga tu!
Leo Pira GAMONDI halikuwepo tumeshinda kwa bahati tu.
yanga is a big team, stat alone can't judge it's progress. ni kama bayern. they play badly despite winng tuchel is hated.Leta takwimu acha hisia
Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.Kuna watu sijui ndo mnafwatilia mpira kwa mara ya kwanza? Hivi timu inaweza cheza msimu mzima au mechi zote kwa kiwango kilekile? Au ndo kulaumu na ujuaji?
Vingeleza vingi vya nini leta takwimu, onyesha timu gani ni bora kwa numbers sio maneno tu kama unaimba singeriyanga is a big team, stat alone can't judge it's progress. ni kama bayern. they play badly despite winng tuchel is hated.