ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz
Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu
Pili, Ogopa sana makocha wa tournament, sawa nakiri kuwa Rakotondrabe alionesha kiwango Bora kwenye mashindano ya CHAN ila binafsi simwani kama atafiti Yanga
Makocha waliofeli vibaya mno waliokuja Kwenye clubs naada ya kutoka national team
1. Luis Van Gal
Huyu alikuwa coach wa Netherlands, alivokuja pale Man United alipigwa hadi akachakaa
2. Luiz Phillipe Scolari
Huyu alitwaa world cup 2002 akiwa na Brazil, baadaye 2008 alijiunga na Chelsea ambapo alikaa tu miezi miwili na akafukuzwa
3. Joachim Low
Huyu Coach alitwaa world cup 2014, aliporudi kwenye Vilabu kila timu ilijipigia kama Ngoma ya kijiji
4 Marcello Lippi
Alitwaa world cup na Italy, lakini alikuja kufanya ovyo kwenye Vilabu mbalimbali
5. Thomas Tuchel
Huyu alifanya vyema kwenye club level ila Sasa anachemka pale England national team, lakini amepiga mwigi Maiz 05, Dortmund, PSG, Buyer Munich na akatwaa UEFA na Chelsea
Yanga tafuta Coach wa viwango sio Rakotondrabe