mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nachukua nafasi kuipongeza Klabu ya Yanga Kwa kutwaa ubingwa Kwa mwaka 2015/2016.Pia naliomba Bunge letu chini ya Spika mahili Mh.Job Ndugai kama ilivyo kawaida awaalike Viongozi Na wachezaji wa Klabu ya Yanga nao waende Bungeni kuonyesha Kombe lao.
Nadiriki kusema hivyo sio nausifia utaratibu huo Bali nauponda kwani Bunge letu linatakiwa kujikita Kwa kina kujadili miswaada Na hoja mbalimbali badala ya kupoteza muda Kwa kupokea vikundi mbalimbali vyenye tija kidogo Kwa Taifa letu.Hivi Bunge kusimamisha shughuli zake Kwa ajili ya wasanii ambao kila Siku
tunao ndio utendaji wa Kazi kweli?
Au ndio falsafa ya HAPA KAZI TU?Wakati umefika Spika Na Wabunge tuache kuchezea muda wa Kazi Kwa mambo yasiyo Na Tina Kwa Taifa., kwani kama ni kuwapongeza hao wasanii au wanamichezo Uongozi wa Bunge kupitia Spika au Naibu Spika utume Pongezi Kwa maandishi Kwa wahusika badala ya kupoteza Na kusimamisha shughuli za Bunge.