Yanga nao kwa utetezi...

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
710
Ziliporejeshwa zile tatu wakasema walijiamini sana. Leo wamepigwa tatu moja kocha kasema walijiamini kupitiliza. Hivi nyie yanga,mnafikiri pale uwanjani mnacheza peke yenu hadi mjiamini namna hii. Sasa nasema muwe mnapigwa tu ili mbadilishe utetezi...
 
na leo pia wamezimia.
 
Waendelee kujiamini sisi mbele kwa mbele, hatuangalii majina tunaangalia mchezo.Hakika wachezaji SIMBA mmeturudishia heshima wanachama na wapenzi wenu, pole sana Kaseja kwa mtihani huu wa leo mechi ya kwanza na simba.
 
Yanga ndo zao,leo nimemuona brandts kawa mwekundu anatafuna midomo tu haamini matokeo.Minziro anadai wachezaj hawakutimiza majukumu yao uwanjani.Mzee akilimal anadai wameingia choo cha kike kumsajili kaseja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom